Mkali
wa Sauti ya Mtaa D Knob ambae kwa sasa anatamba na ngoma yake ya
Nishike mkono ambayo amempa shavu Mwasiti na kufanya vyema kunako
vyombo mbalimbali vya habari leo inaanza kutengenezwa Kichupa chake.
D
Knob amefunguka na kushukuru kwa mashabiki wake amabo wameweza
kuipokea ngoma hiyo na kuifikisha katika hatua nzuri zaidi hadi
kumuhamasisha kuifanyia kichupa kikali ambacho kinaanza kutengenezwa
leo,ingawa mpaka sasa D Knob hajaweka wazi ni kampuni gani anafanya
nao video hiyo.







0 comments:
Post a Comment