Kipa Ivo Mapunda
ambaye kwa sasa anaidakia Timu ya Gor Mahia ya Nchini Kenya
amefunguka na kudai kuwa anakaribia kumalizia Mkataba wake na Timu
hiyo ya Kenya Hivyo kama Simba wanamuhitaji wanakaribishwa
"Namaliza mkataba
wangu Desemba mwaka huu na kama nitakubaliana na Simba naweza kufanya
nao kazi, kule ligi yao hakuna tofauti kubwa zaidi ya uendeshaji, ila
hapa (Tanzania) pesa ipo. Kule menejimenti si nzuri sana,"







0 comments:
Post a Comment