Msanii Abas Khamisi alimaarufu kama 20% ambae anafanya kazi ya muziki kunako Bongo Fleva amepata majanga baada ya kumpoteza Baba yake Mzazi Mzee Khamis Kinzasa ambaye amefariki dunia jana.
Kwa mujibu wa rafiki wa karibu wa Msanii 20% ambaye ni msanii kutoka Morogoro Afande Selle amedai kuwa Mzee Khamis Kinzasa atazikwa leo mchana nyumbani kwake Kimanzi chana muda wa saa saba.Mpita njia inawapa pole Ndugu jamaa na rafiki wa karibu ambao wameguswa na msiba wa Rafiki yetu,Msanii wetu 20%.
REST IN PEACE






0 comments:
Post a Comment