Thursday, October 3, 2013

HIVI NDIVYO MREMBO ALIVYOANGUSWA KWENYE MAJI MACHAFU NA KUARIBU SIKU YAKE

Siku mbili tatu Jijini Dar es Salaam kuwekuwa na mvua ambayo imesababisha baadhi ya sehemu kutuwama kwa
maji na kuwa kikwazo kwa watembea kwa mguu kuweza pita hususani Wanawake hata Wanaume ambao wanakuwa wakielekea makazini au wakirejea Nyumbani kutoka makazini.

Katika hali hii Binti huyu alishindwa kuvuka maji yaliyokuwa yametuwama na kuomba avushwe ili aweze mlipa mvushaji lakini Mambo yalikuwa kama hivi
Safari inaanza kutaka kumvusha Mteja Upande wa pili ili aweze kuendelea na Safrai yake

Ajari imewakuta na kudondoka katika Dimbwi la maji Machafu

Wasamalia Wema wakisaidiana kumtoa Dada wa Watu katika Dimbwi la Maji

Mwanadada akitoa Mchozi baada ya wasamalia wema kumuokoa katika dimbwi la Maji







Picha kwa Hisani ya KHAMIS MUSSa

0 comments:

Post a Comment