Msanii
wa Hip hop kutokea pandwe za ilala Chiddi Beenz Chuma leo huii
ameandika katika ukurasa wake wa Kitabu cha uso dhidi ya Mpinzani
wake Ney wa Mitego kutokea pande za Manzese
Chuma
amesema kuwa Ney anamtumia message inbox na kumtusi kuwa yeye ni
mteja hana hata Baiskeli ya miguu miwili hivyo anadai kuwa hajui
anamaanisha nini kumtumia message kama hizo hivyo amaemtaka kuacha
kumtumia messeji hizo huku akisenma kuwa yeye ana mungu,Family,na
kusema anamashabiki Ilala wanaonikubali pia ana ndugu jamaa na
marafiki kama ambavyo anatiririka hapa Chuma
“We
Neema wa mitego usinitumie msg inbox tafadhari..unanitukana mimi
mteja sina hata baiskili' sijui unamaanisha nini but usitume msg
inbox...mimi nina God,Family,Ilala,mashabiki wanaonikubali,ndugu na
marafiki na najua kufanya kazi napenda mziki..utajiri unao wewe
baiskili unayo wewe na vizuri kama hutumii madawa wala chcht.m real”
ikumbukwe
pia Bifu kati ya watu hawa imeanzia kwenye baadhi ya mISTARI YA
nYIMBO ZAO ambayo inaonekana kuendelea kukua chini kwa chini na
kuendelea kutambiana kwa mambo mbalimbali.







0 comments:
Post a Comment