![]() |
| LINEX |
Msanii wa bongo fleva linex alietamba na
nyimbo kama mama halima,aifola, na nyingine kibao siku ya jumapili ya mwezi huu
hapa tarehe 24 atazindua album yake ya kwanza kabsa inayokwenda kwa jina la
mahakama ya mapenzi.
Uzinduzi wa mahakama ya mapenzi utafanyika
katika ukumbi wa maisha Club na jaji mkuu wa mahakama hiyo atasindikizwa na
wasanii kama Banana Zahir Zoro,Peter Msechu,H-Baba pamoja na Stara Thomas .
Kama unakesi ya mapenzi nenda na mpenzio
maisha club day hiyo ili ikatatuliwe kama si kumalizwa kabsaa.
Msanii wa bongo fleva linex alietamba na
nyimbo kama mama halima,aifola, na nyingine kibao siku ya jumapili ya mwezi huu
hapa tarehe 24 atazindua album yake ya kwanza kabsa inayokwenda kwa jina la
mahakama ya mapenzi.

0 comments:
Post a Comment