Friday, December 20, 2013

PICHA KOCHA WA YANGA BRANDITS AKIWA NA OKWI MAZOEZINI LEO

Kuna kila dalili Mshambuliaji Emmanuel Okwi Kesho kuingia dimbani kusakata Kabumbu katika Mechi ya Nani Mtani Jembe itakayofanyika Kesho Uwanja wa
Taifa.

Mshambuliaji huyo Leo alijiunga na Kikosi cha Yanga katika Mazoezi yaliyokuwa yakifanyika katika Uwanja wa Bora Kijitonyama.

0 comments:

Post a Comment