Thursday, May 2, 2013

SALAMA JABIR KAJITOA KUWASAIDIA WASANII NA WAJASIRIAMALI


Salama Jabir mtangazaji wa kipindi cha Mkasi Kinachokwenda hewani kupitia Tinga namba moja kwa vijana EATV leo ameandika katika Wall yake kuwa atawasaidia wasanii wa musiki wanaotaka msaada ya kufanya kazi ila tu wakiwa na pesa mfukoni mwawo na wewe atawasaidia kufanya kazi na Mtayalishaji Mkubwa wa muziki Bongo Marco Chali.
Vilevile amewapa ushauri wale wajasiriamali wadogo wadogo wasio na fedha nyingi za kutosha kuendesha biashara zao wajiunge na mikopo nafuu katuika mabenki ili waweze kupata mataji utakao kizi haja na mahitaji ya biashara zao.
ndugu zangu unaitaji kurahisisha maisha kama wewe msanii unaitaji kusaidiwa chukua mkopo kiasi chochote kisha tuwacliane nitakusaidia kufanya kazi na marco chali,pia kwa wale wajasiriamali wanaotaka kuanzisha biashara na hawana mitaji pia wanaweza wakajiunga na Mikopo ya bank na watapatiwa mikopo nafuu isiyokuwa na riba na marejesho yake ni rahisi “


0 comments:

Post a Comment