Mfanyabiashara
mmoja aliefahamika kwa jina la Shilima kutoka Dar es salaam leo
amejirusha kutoka gorofa ya tisa na kuangukia gari dogo aina ya
Tayota.
Tukio
hili limetokea mjini Dar es salaam leo hii katika maeneo ya kariakoo
lakini chanzo cha mfanya biashara huyo kujilusha tokea gorofa ya tisa
mpaka chini hakijafahamika mara moja.
Mfanyabiashara
huyo amekimbizwa Hospitali mpaka sasa haijafahamika kama amefariki au
yu hai.kwa taarifa zaidi nitakujuza baadae.
0 comments:
Post a Comment