Thursday, May 2, 2013

MANENO YA BUSARA YA BEN PAUL KWAKO WEWE



Msanii Ben Paul ambae amepata ushiriki katika Category kadhaa za Kilimanjaro Music Awards mwaka huu juzi alitambulisha Wimbo wake mpya unaokwenda kwa jina la JIKUBALI uliotengenezwa na Producer Lucci .

Ndani ya ngoma hiyo Ben Paul anawahasa kina dada kina kaka,vijana wa lika zote wajikubali kwa kile wakifanyacho na kuamini kuwa wanaweza kuwa kama kina fulani ambao teyari wamekwisha fanikiwa katika mambo mbalimbali.

Lengo lake ni kuwapa moyo na kuwataka vijana wasikate Tamaa

Unaweza kuwa Doctor, unaweza kuwa Star,Unataka kuwa Linah, unaweza kuwa Shaa
Kipaji Mali yako, Elimu Ngao yako Usiache jambo Kati kwenye maisha yako”

Unaweza kuwa Diamond, unaweza kuwa Jay Unaweza kuwa JB, unaweza kuwa Ray
Mi Nakuasa it's your time,Huwezi kuwa chini you've got somethin' special Unampenda Lady Jay dee unamzimia Zitto”

Trust me iko siku utatimiza ndoto yako You can be a Boss, you can be a Lawyer You can be the President
You'll be successful
Hayo ndio maneno ya Busara ya Ben Paul kwako wewe

0 comments:

Post a Comment