Thursday, April 18, 2013

PICHA ZA RUGE,DIAMOND,FID Q WAKIWA MSIBANI ZANZIBAR

Baada ya jana kutufikia taarifa ya Kifo cha Legendary wa Muziki wa Taarabu kutoka kisiwani Zanzibar Bi kidude kwa watu maarufu Nchini Tanzania Fid Q alikuwa mtu wa kwanza kufika eneo Msiba ulipokuwepo.

wasanii wengine walionesha jitihada za kutaka kuwahi kufika eneo la tukio ili waweze kushudia na kutoa heshima ya mwisho wa Legendary huyo wa Muziki aliefanya kazi nyingi za muziki hata na vijana wa sasa akiwemo Fid Q,Profesar Jay,Mwasiti pamoja na kundi la muziki wa mduara kutoka Zanzibar alimaarufu kama OFF SIDE TRICK.

Mpaka muda Mpita Njia naingia mtamboni Raisi wa Jamhuri wa Muungano wa TANZANIA Dr Jakaya Mrisho Kikwete ameungana na mamia ya waombolezaji waliopo msibani hapo katika kutoa Heshima ya mwisho Kwa Bi KIDUDE.

Niazime macho yako nami nikuvushe Bahari mpaka Zanzibar na kushudia nini kiendeleacho kwa picha hiziiiiiiiiiiii  


FID Q WAPILI KUSHOTO, DIAMOND PLATNUM NA RUGE MUTAHABA 


BAADHI YA WAOMBOLEZAJI WAKIWA NYUMBANI KWA MAREHEMU

RUGE MUTAHABA (KUSHOTO) BABU TALE(KATI) NA GULU
 






0 comments:

Post a Comment